Nikk Mbishi ni moja kati ya rapper bora wenye uwezo mkubwa sana linapokuja swala ya Freestyle a.k.a (Mitindo Huru) kwa hapa nchini, Nimekuwa nikifatilia kwa karibu sana swala la mitindo huru hapa nchini, lakini wengi wao linapo kuja swala la ku freestlye wengi wao hukimbilia kuimba na kupotenza ladha ya mitindo huru.
Nikk Mbishi ni kati ya rapper ambao hawatoki ndani ya dhana hii ya mitindo huru na siku zote hufanya vyema kuliko wengi wao na hili ndio swala linalo mfanya nikk mbishi kuingia katika list ya best mc wenye uwezo mkubwa wa ku-freestyle maada tofauti tofauti kwa muda mrefu akifatiwa na rapper godzilla kutoke SALASALA
But miaka nenda ludi nikk mbishi hajawahi fanya freestlye kali na yenye mvuto kuliko hii HAPA kinacho nifanya kuipenda freestly hii mitindo huru ya nikk mbishi ni uwezo wa nikk mbishi ni kustick ndani ya maada aliyo pewa na DJ FETTY na kufanya bonge moja la freestyle. Na kuweza kutoa mitindo huru malidadi na bora. Mitindo huru aliyo wahi kuifanya nikk mbihsi hapa bongo ni mingi but kwa muda mrefu naweza sema hii ni moja kati ya "ONE OF THE BEST OF NIKK MBISHI OF ALL TIME, Pata kuisikiliza freestly hiyo hapo juu utakubaliana na mimi.