Download nyimbo mpya kutoka kwa Godzilla ft One the Incredible ft Stereo ft Nikk Mbishi inayokwenda kwa jina la SISI, Kama kawaida ujuavyo katika mziki wa HIP HOP wanapokutana wa kali katika bongo hiphop music huwa kila mtu kwa uwezo wake binafsi kujitahidi kufanya kitu kizuri kwa ajili ya mashabiki wake wake na hapo ndipo mziki mzuri hutokea.
Kila mtua anajua uwezo wa wa saniii hawa ki-uwezo binafsi mmoja baada ya mmoja kwa hiyo kazi kwako kusikiliza nyimbo ki-umanikini na kutuoa mtanzamo wako kipi umependa katika nyimbo zima na kipi hujakiependa
Nyimbo hii umetayarishwa na producerKIBABU WAPOTEEN chini ya studio ya KILI RECORDS
Nyimbo unaweza kuipakua HAPA pia na kushare na wapenda mziki wa hip hop na kutoa support yako katika mziki wa bongo hip hop kwa namna moja au nyingine.
Chapisha Maoni