Nachukua nafasi hii kuweza kutoa salamu zangu za dhati kumtakia heli ya kuzaliwa moja kati ya wachanaji wakali wa mziki wa hip hop hapa Tanzania bwana fid Q. Mungu akulinde na kukutangulia katika kazi za zako zote za mikono kumbuka kuwa na sisi bado ni mashabikiki zako wa mziki wa hip hop tuna kubali kinoma na ku support kazi zako endelee kusogeza hili gurudumu la mziki wetu mbele HAPPY BIRTHDAY TO YOUUUUUUUU NGOSHA aka MWANAMALUNDI!!!!!!!
Chapisha Maoni