Moja kati ya rapper ninao ejoy kuwasikiliza kila muda bila kuchoka ni pamoja na SONGA, Songa ni moja kati ya rapper wanaotambulika E. Africa kwa kutumia kiswahili vizuri sana linapokuja swala la uandishi wa mashairi ya kiswali kuweza kuwakilisha ujumbe kwa hadhira.
Songa kwa muda mfupi alikuwa yupo kinywa kidogo, Jambo hilo ilifanya watu wengi pamoja mna mashabiki wake kuwa na hamu na ujio wake katika mziki wa hip hop na kama ilivyo kawaida huwa hakosii kaja na track plus video moja kali sana kiasi kwamaba ameweza kukidhi ile shauku ya mashabiki wake toka muda mrefu
Safi sana songa huu ujio unaweza kukufanya ukawa msanii tofauti mwenye malengo mpya 2016 unaweza kuitazama video hiyo hapa na kutoa mchango wako kuhusu video hii
Chapisha Maoni