TRACK OF THE WEEK - NIKK MBISHI ft NURUEL - AU
RAPPER WAKAZI ATEULIWA KUWANIA TUZO ZA KORA KATIKA KIPENGELE CHA "BEST HIP-HOP ACT"
Pia ikumbukwe kuwa rapper wakazi atakuwa anachuana vikali na rapper wekaze wakali na wakubwa bara afrika, Kwa hiyo swala la kumpigia kula ni swala la muhimu sana ili kufanikisha swala hii na ushindi kwa nchi yetu na fulaha kwa mziki wa bongo pia. Upatapo taarifa hizi mjulishe na mwezako kuwa rapper wakazi anahitaji support yako.

NEW TRACK COMING SOON 7th December - JAY MOO ft DEDDY "HILI GAME"
Tarehe 7 ya mwezi wa kumi na mbili kaa tayari kwa mziki mzuri na makini kutoka kwa watu makini. Track hii mpya ya Jay moo imefanyika katika studio za BONGO RECORD chini ya usimamizi wa producer P-Fank Majani, Hii nayo ni habari nzuri kwa sisi wafatiliaji wa mziki wa hip hop Jay moo anapo kutana na producer wake wa siku nyingi siku zote hakihalibiki kitu. Kaa tayari shabiki kwa mziki wa wateule mziki ulioenda shule...........!!!.
HAPPY BIRTHDAY- FREDRICK BUNDALA a.k.a SKY WALKER
Umaarufu wa sky ulianzia tokea akiwa katika redio free africa katika kipindi kama "Extra Show Time" uwezo wake mkubwa wa kuweza kufahamu mziki wa kibongo hata wa kimataifa ulimfanya kuweza kupata urafiki na wasanii wengi wa kubwa hapa ndani na nje ya nchi na kuweza kupata mashavu mbali mbali ya kutengeneza matangazo mbali mbali ya vipindi vya redio.
Kwa sasa sky alipumzika katika mambo ya utangazaji na kuhamia katika mambo ya kimitandao kuweza kupush huu mziki wa kitanzania kupitia social networks mbali mbali. Kwa sasa sky ni moja kati ya wahusika wakuu wa uandishi wa makala mbali mbali katika mtandao wa www.bongo5.com akiwepo na mwezake rafiki yake kipenzi toka enzi hizo za redio free africa George Sandu a.k.a Kid bway
Sisi kama tzhiphopnew tunapenda kutoa salamu zetu za dhati na kheri ya kuzaliwa kwako bwana sky walker na family wako. Mungu awe na wewe kati maisha yako yote. Ameni.
MANSULII ft NIKK MBISHI ft BELLE 9 - Usione Ukadhani (Audio)
YOUNG KILLER ft FID Q - 13 VIDEO.
HABARI NZURI KWA MASHABIKI WA JOHN MAKINI
HAPPY BIRTHDAY FID Q.
NEW ALBUM TOKA KWA NIKK MBISHI - "UFUNUO WA UNJU BIN UNUQ"
FID Q KUVUKA MIPAKA MPAKA NIGERIA KWA MKALI 2 FACE.
TOKA KWA ONE INCREDIBLE : NEW MIXTAPE "IDENTITY" COMING SOON.
NI TIME YA RAPPER MABESTE: NDOA
Rapper mabeste yuko mbioni muda wowote kufunga ndoa na mpenzi wake mpendwa walio pendana kwa muda mrefu katika kipindi cha laha na matatizo. Rapper mabeste amelionesha hilo wazi kwa wapenzi wake kuwa anampenda sana mpenzi wake kwani hata mwanzo kipindi ana pata matatizo mabeste alikuwa bega kwa bega na mpenzi wake .Pia alipo pata tatizo kubwa hakuona hatari kuomba msaada kwa fans wake hata wasanii wenzake. Mabeste ni rapper amabaye amefanikiwa kupata mtoto mmoja mpaka sasa.
Mabeste amefika uamzi huo baaada ya kuona now ni muda wa yeye kuvuta jiko japo ametahadhalisha kuwa swala hilo linaweza kuwa la kushitukiza, kwahiyo watu wawe tayari kwa lolote iwe kimchngo au any support.
NEW TRACK COMING SOON P THE NATIVE ft JORDAN- CHINI YA JUA.
FID Q AINGIZWA KWENYE ORODHA YA WASANII 20 BORA WA HIP HOP AFRICA
Kutokana na hayo basi jalida la SA HIP-HOP limempa nafasi nyingine Fid Q kutambulika Kia afrika kwa kuweza kuamini uwezo wake wa uandishia wa Mashairi na kumuingiza katika orodha ya Majina 20 ya wasanii bora Afrika na fid Q akikamata nafasi ya 18 akiwa Mtazania pekee kupata nafasi hiyo. wasanii wengine walio unda Orodha hiyo ni kama ifuatavyo.
1. AKA - South Africa.
2.Sarkordie - Ghana.
3.Ice prince - Nigeria
4.Cassper Nyovest - South Africa
5.M.I - Nigeria.
6.KO - South Africa
7.Manifest - Ghana
8.k'naan - Somalia
9. Zues - Botswana
10. Phyon - Nigeria.
11. Olamide - Nigeria
12. Dee Money - Ghana
13. Octopizzo - Kenya
14. Tumi - South Africa
15. Stunner - Zimbambwe
16. Yossoupha - Congo
17. Dama Da Bling - Msumbiji
18. Fid Q - Tanzania
19. Cleo ice Queen - Zambia
20. Cal Vin - Zimbambwe
Hapo ndipo Fid Q aliweza kuwa katika list hiyo na kuwa rapper bora na pekee kwa Tanzania kutokea katika jalida hilo la SA HIP-HOP.
MJUE THE BIG BOSS KUTOKA LABEL YA TAMADUNI MUZIK
KAA TAYARI KWA NGOMA KALI: P THE EMCEE ft YOUNG KILLER ft DULLY SYKES.
NEW ALBUM: GETTO AMBASSADOR - UWANJA WA FALISAFA.
»» 0765272734
NEW: LIST YA KILI MUSIC AWARDS OUT..
Baadhi Ya Vipengelene Vivyomo kwenye List Hiyo Ya KILIMANJARO MUSIC AWARDS ni kama ifuatavyo....
Wanaowania tuzo ya msanii bora wa hiphop: Joh Makini, Fid Q, MwanaFA, Roma Mkatoliki na Profesa Jay."
Wimbo bora wa Hiphop: Bongo hiphop - Fid Q , Mfalme MwanaFA , Kipi sijasikia Prof Jay, Gere - Weusi, I see me Joh, XO - Joh.
Mtunzi bora wa mwaka Hiphop: FidQ JohMakini, MwanaFA,Nikk wapili na Kala Jeremih"
Producer bora wa bongofleva: Nahreel Man Water, Mesen Selekta, Tudd Thomas na Marcochali"
Video bora ya muziki ya mwaka: Mdogo mdogo na Nitampata wapi - Diamond, Mwana - Ali Kiba, Olethemba ya Linah, na Asante ya Ay.
Kikundi bora cha mwaka BongoFleva: Navy Kenzo, Yamoto Band, WEUSI, Makomando na B.O.B"
Mtunzi bora wa bongofleva: Ali Kiba, Diamond, Ben Pol, Barnaba na Jux.
Wimbo bora wa mwaka: Nani kama mama C.Bella na OmmyD, Mwana -Ali Kiba, Gere - Weusi, Nitasubiri - Jux, Bongo hiphop ya FidQ"
Wimbo bora wa Afrika Mashariki: Sura yako wa SautiSol Kioo - Jaguar, Walewale JChameleone Prokoto & Show VICTORIA_KIMANI
Hivyo Ni Baadhi Ya Vipengelene Tu katika KILIMANJARO MUSIC AWARDS unaweza fatilia Full List Katika Official Website Ya KTMA.
TEKNOLOGY MIXTAPE MTAANI
NI ZAMU YA STEREO na CHIDI BENZ
Ni zamu ya Stereo na Chid Benz kwenye Game la hip hop.Ni kwa muda mrefu chid Benz na stereo wamekuwa kinywa kwenye Game bila kutoa ngoma mpya hewa. Usemi huo umevujika juzi stereo alipo achia ngoma mpya iitwayo UKONGA ILALA ni mziki wa Tofauti unaozungumzia sana mziki wa mtaani kama unavyojua stereo ni king wa mziki wa Mtaani. Kiukweli stereo na Chid Benz wameutendea haki huu Wimbo kwasababu wamezungumzia Mambo mengi.
Pata Nafasi kuutafuta wimbo huu na Kuusikia kiundani na Utaelewa nini ninacho maanisha.
MJUE MTANGAZAJI ANAYE IWAKILISHA VIZURI HIP HOP TANZANIA
Kama ulikuwa hujui Ndio Ujue kuanzia Leo,JABIR SALEH Mtangazaji Wa kituo cha redio cha Times FM ni Kati Ya Ma presenter Bora Kabisa Kuwahi Tokea Tanzania Kwa Kuwapa Support Wasanii Wa changa Na Wakubwa hasa wa Tasnia Ya Mziki wa Hiphop Nchini.
Ame kuwa akiwaalika wasanii wengi Kwenda studio kutambulisha Kazi zao na plan zao za mziki bila shida.Pia ni Kati ya watangazaji Mwanao jua mziki wa hip hop vizuri....
Hivi Karibuni JABIR SALEH amekuwa miongoni wa Watangazaji wanao wania TUZO ya watangazaji bora Wa redio na kwa dalili zinazo endelea Mtandaoni Anauwezekano Mkubwa wa kishinda category kalibia zote alizo ingia kwa sababu watu wanaelewa anachokifanya. HUYO NDIO JABIR SALEH fatilia kipindi chake cha The jumpoff umuelewe zaidi.
TAMANDUN MUZIK WATOA CHAPISHO LA KOFIA KWA MALA YA KWANZA
Kikundi Cha Mziki Wa Hip Hop Tamanduni Muzik Cha Toa Chapisho La Kofia zenye Lebo Ya Nembo Yao Kwa Mara Ya Kwanza..... Ikumbukwe hii sio Mara Ya Kwanza Kikundi Hichi Kuanzisha Biashara Za Matangazo Ya Bidhaa Zenye Nembo Yao Kwa Mara Ya Kwanza Na Pia Wasani Wanao Patikana Katika Kikundi Hicho Wamekuwa Waki Chapisha T-shirt zenye Nembo mbalimbali Zikiwemo za Album,mixtape, hata Makongamano Yao...
Kama Kweli Wewe Ni Mpenzi Wa Kikundi Hichi Naamini Utawaunga Mkono Kwa Vyovyote Vile Bei Ya Kofia Moja Ni Tsh.20000/= za Kitanzania
#MovementForChange Support Wasanii Wetu......
New Mixtape Mtaani [ MWENGE-KIWALANI ]
Upatikanaji wa Mixtape hii unaweza kumfollow rapper zaiid instagram na kuidownload katika bio yake au kufanya nao mawasiliano.Fnaya haraka mixtape hii sio ya kuikosa mtu wangu.
Rapper Mwenye Uandishi Adimu Tanzania
Kama Ukitaka Kufahamu Utofauti Na Umalidadi Wa Uandishi Wa Mashairi Yaliyo Katika Mtiririko Mzuri Bila Kuhama Katika Maada Lengwa Jitahidi Kufatilia Kazi Za Rapper Huyu Anaitwa P THE MCEE ni Rapper Kati Ya Marapper Wanao Unda Kundi La TAMADUNI MUZIK. Kiuhalidhia Kabisa Jamaa Anaandika Vitu Ambavyo Ni Common Katika Jamii Japo Hajapata Airtime Ya Kutosha Katika Media Za Tanzania Lakini Ni Moja Kati Ya Rapper Wenye Uwezo Mkubwa Wa Uandishi Wa Mashairi Bora Kabisa.
Mwana FA Aachia KIBOKO YANGU official Video
Rapper Huyo Kutoka Tanga Akimshirikisha Ali Kiba King Wa Chorus Tz. Video imekuwa Kama Maana FA Alivyo Waambia Na Kuwaahidi Mashabiki Zake Kuwa Wakae Mkao Wa Kupata Video Ambayo Anaamini Kwamba Ni Bora Kuliko Video Zake Zote.
Unaweza Kuitizama Video Yake YouTube Na Kutoa Maano Yako.
Nikki Mbishi Aamua Kuacha Mziki.
Swala Hilo Mpaka Sasa Limekuwa Katika Social Media Likichukua Headlines Kubwa Sana Pale Ambapo Nikki Alitoa Tamko Hilo rasmi katika ukurasa wake wa Twitter Na Kuacha Mashabiki Wengi Midomo Wazi,Swala Hilo Linaonekana Kama Kuja Kwa Ghafula Sana,Kiasi Kwamba Hata Rafiki Zake Wa Karibu Wa Tamaduni Muzik Akiwemo Songa Alipatwa Na Mshituko,Japo Kuwa Mpata Sasa Hivi Nikki Mbishi Amesimamia Msimamo Wake.Japo kushauriwa Na Wasanii Wengi Wakiwemo Wa kongwe kama Prof J,Did Q,God Zilla.
Mpaka Sasa Mashabiki Wengi Hawaamini Swala Hilo,ila wana Amini Nikk Atabaki Akifanya Maswala Mengine Ya Kimziki Wa Hip Hop Na Sio Kuimba Tena Kama ilivyo Zoeleka.